Simba SC

SIMBA KUKWEA PIPA MUDA HUU KUELEKA KENYA KWA AJILI YA KUWAFUATA KAIZER CHIEFS

admin May 10, 2021 10:47 pm


 KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes leo Mei 11 kipo katika hatua za mwisho za kukwea pipa kukwea pipa kuelekea Kenya ambapo kitaunganisha kuelekea Afrika Kusini.


Simba ina mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya robo fainali dhidi ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini.


Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Mei 15 na ile robo fainali ya pili inatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.


Gomes amesema kuwa anaamini mchezo utakuwa mgumu ila watapambana kusaka ushindi ndani ya dakika 90.


“Utakuwa mchezo mgumu na kila kitu kipo sawa mashabiki,”.

UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMANNE METACHA MNATA KUPEWA MKATABA MPYA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply