FA Cup

SHIRIKISHO NI MWADUI V YANGA, SIMBA V DODOMA JIJI

admin May 11, 2021 9:47 am


 DROO ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho ambalo lipo mikononi mwa Simba imechezwa leo na ilikuwa mubashara AzamSports1HD.

Mbele ya vikapu alikuwepo Maalim Saleh na Hussein Sued ambao walikuwa wakichezesha droo hiyo na mambo yamekuwa namna hii:-

Simba v Dodoma Jiji

Rhino Rangers v Azam FC

Biashara United v Namungo FC

Mwadui FC v Yanga

Nusu fainali 

Mshindi wa mchezo wa Simba v Dodoma v mshindi wa mchezo kati ya Rhino v Azam FC.

Mshindi wa Biashara United v Namungo v mshindi wa mchezo kati ya Mwadui FC v Yanga

WANAUME 22 LEO KAZINI KUSAKA POINTI TATU SERIKALI YATOA TAARIFA KUHUSU KUYEYUKA KWA MECHI YA SIMBA V YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply