Home Simba SC VIDEO: HATARI YA KAIZER CHIEFS MBELE YA SIMBA ZATAJWA,

VIDEO: HATARI YA KAIZER CHIEFS MBELE YA SIMBA ZATAJWA,


MEI 15, Simba itakuwa ugenini kusaka ushindi mbele ya Kaizer Chiefs kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ukiwa ni wa hatua ya robo fainali ya kwanza.

 
Didier Gomes kocha wa Simba anaaminika kuwa masta wa kufanya mabadiliko ila ameambiwa kwamba kazi anayo kwa kuwa hautakuwa mchezo mwepesi.

 

SOMA NA HII  BAADA YA BENCHIKHA KUSEPA ZAKE SIMBA ...MAPYA YAIBUKA....ALIKUWA ANALIPWA MIL 50 KWA MWEZI...