Yanga SC

YANGA WATUA MTWARA KWA NDEGE

admin May 12, 2021 5:47 am

 


KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu,  Nassreddine Nabi leo Mei 12 kimewasili salama Mtwara kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC.

Yanga wametua Mtwara na ndege ya Kampuni ya Precision Air ili kuanza kuwavutia kasi Namungo wanaonolewa na Hemed Morroco. 

Ni Mei 15 wanatarajiwa kukutana katika Uwanja wa Majaliwa ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili baada ya ule wa awali uliochezwa Uwanja wa Mkapa ubao kusoma Yanga 1-1 Namungo.

Miongoni mwa waliopo kwenye msafara huo ni pamoja na Deus Kaseke, Ditram Nchimbi, Haruna Niyonzima, Lamine Moro, Wazir Junior, Farouk Shikalo na Metacha Mnata.



ORODHA YA WACHEZAJI WA SIMBA WALIOPO NCHINI AFRIKA KUSINI FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA YAWEZA KUPIGWA WEMBLEY

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply