Namungo FC
KIKOSI CHA NAMUNGO FC KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA YANGA
KIKOSI cha Namungo FC kinachotarajiwa kuanza leo Mei 15 mbele ya Yanga, Uwanja wa Majaliwa ikiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara mzunguko wa pili kipo namna hii:-
Jonathan Nahimana
Fred Tangalo
Steven Duah
Frank Magingi
Jafary Mohamed
Hamis Khalifa
Lukas Kikoti
Stive Nzigamasabo
Hashim Manyanya
Ibrahim Abdalah
Lusajo Relliants

Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.