Ligi Kuu

JKT TANZANIA KAMILI GADO KWA AJILI YA MECHI ZAKE ZOTE

admin May 17, 2021 1:47 pm


MOHAMED Abdalah, ‘Bares’ , Kocha Mkuu wa JKT Tanzania amesema kuwa wachezaji wake wapo tayari kwa ajili ya mechi zao zilizobaki ili kupata matokeo chanya.


JKT Tanzania imetoka kusepa na pointi tatu mbele ya Gwambina FC kwa ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Gwambina Complex.

Mchezo wake unaofuata ni dhidi ya Yanga unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma, Mei 19.

Akizungumza na Saleh Jembe, Bares amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mechi zao zilizobaki na wanaamini kwamba watapata matokeo.

“Tupo tayari kwa ajili ya mechi zetu zijazo na tunaamini kwamba tutapata matokeo chanya kikubwa ni kila mchezaji kutimiza majukumu yake,” .


KIKOSI CHA SIMBA CHAWASILI DAR KIKITOKEA AFRIKA KUSINI VIDEO: SABABU YA SIMBA KUPOTEZA MBELE YA KAIZER CHIEFS  HII HAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply