Simba SC

KIKOSI CHA SIMBA CHAWASILI DAR KIKITOKEA AFRIKA KUSINI

admin May 17, 2021 10:48 am

KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu Didier Gomes leo Mei 17 kimewasili salama Tanzania kikitokea nchi Afrika Kusini.

Kimeongonzana na viongozi wake ikiwa ni pamoja na Crestius Magori ambaye alikuwa Kwenye msafara huo.

Afrika Kusini kilipoteza kwa kufungwa mabao 4-0 dhidi ya Kaizer Chiefs hivyo kinarudi kwa ajili ya maandalizi ya robo fainali ya pili ya marudio katika Ligi ya Mabingwa Afrika. 

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Mei 22, Uwanja wa Mkapa.

MORO – NABI HAKUTAKA KUNISIKILIZA NA MIMI SIPENDI KUGOMBEZWA JKT TANZANIA KAMILI GADO KWA AJILI YA MECHI ZAKE ZOTE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply