Ligi Kuu

VPL: JKT TANZANIA 0-2 YANGA

admin May 19, 2021 1:47 pm

UWANJA wa Jamhuri, Dodoma

JKT Tanzania 0-0 Yanga

Dakika ya 42 Kibwana Shomari anapewa huduma ya Kwanza 

Dakika ya 40 Maicon anatoa mpira 

Dakika ya 38 Mgandila Shaban anaweka kigingi kwa Yacouba 

Dakika ya 30 Gooooal Kisinda

Dakika ya 28 Edward Songo anaonyeshwa kadi ya njano 

Dakika ya 26 Yacouba Gooooool

Dakika ya 23 Said Ntibanzokiza anapiga faulo ya pili haileti matunda 

Dakika ya 18 Nchimbi anafanya jaribio inagonga mwamba

Dakika ya 17 Yacouba Songne anafanya jaribio linakwenda nje ya lango 

Dakika ya 15 Said Ntibanzokiza anapiga faulo haileti matunda 

Dakika ya 12, Lyanga anafanya jaribio la Kwanza Mnata anaokoa inakuwa kona

Dakika ya 8 Kigi Makasi anachezewa faulo 

Dakika ya 7 Lyanga anapewa huduma ya kwanza 

Dakika ya 5 Yacouba anaotea

Dakika ya 4 Mwanyeto anaanua majalo

Dakika ya 3 Yacouba Songne anachezewa faulo 


Dakika ya 2 JKT Tanzania wanapiga kona ya kwanza

HIZI HAPA LEO KUSAKA USHINDI NDANI YA LIGI KUU BARA KIKOSI CHA JKT TANZANIA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply