Simba SC
VIDEO: SIMBA YAWEKA WAZI KWAMBA KESHO ITARUDIA HISTORIA YA 97
MWINA Kaduguda, ameweka wazi kwamba kesho Simba ina nafasi ya kufanya vizuri mbele ya Kaizer Chiefs kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Haya yote aliyasema kwenye hafla ya kuwakabidhi zawadi wachezaji wa Simba Queens. Simba ina mlima wa kutafuta ushindi wa mabao 5-0 mbele ya Kaizer Chiefs kwa kuwa mchezo wa kwanza walipokutana Uwanja wa FNB ubao ulisoma Kaizer Chiefs 4-0 Simba.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.