Home CAF KIKOSI BORA CHA WIKI CAF, BOCCO, LUIS NDANI

KIKOSI BORA CHA WIKI CAF, BOCCO, LUIS NDANI


 

KIKOSI bora cha wiki Ligi ya Mabingwa Afrika,katika hatua ya robo fainali kimetolewa ambapo  nyota watano wa kikosi cha Simba wametajwa.

Licha ya kwamba kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes na msaidizi wake ni Seleman Matola kuishia hatua hiyo.

Wachezaji ambao wametajwa ni pamoja na John Bocco, Clatous Chama, Mohamed Hussein, Shomari Kapombe na Luis Miquissone.


SOMA NA HII  RASMI..ADEBAYOR KUTUA SIMBA...MO DEWJI APEWA FAILI LAKE...THAMANI YAKE NI 468 MILIONI..TYR AGAIN AFUNGUKA..