Home Azam FC AZAM FC YATINGA HATUA YA NUSU FAINALI

AZAM FC YATINGA HATUA YA NUSU FAINALI


RHINO Rangers ikiwa Uwanja wa Kambarage leo Mei 26 imetolewa katika hatua ya robo fainali katika mchezo uliochezwa leo.

Baada ya dakika 90 ubao hu9 umesoma Rhino Rangers 1-3 Azam FC.

Ni Seleman Abdalah alipachika bao kwa Rhino Rangers huku yale ya Azam FC yalifungwa na Ayoub Lyanga,  AgreĆ½ Morris na Obrey Chirwa.

Azam FC inatinga hatua ya nusu fainali ambapo inamsubiri mshindi wa mchezo wa hatua ya robo fainali kati ya Simba na Dodoma Jiji urajaochezwa Uwanja wa Mkapa.

SOMA NA HII  NYOTA AZAM FC NJE WIKI SITA