video

VIDEO: KUMBE MANULA ALIAMBIWA UKWELI JAMBO LILILOMFANYA ATAKE KUGOMBANA

admin May 28, 2021 5:47 am


NAHODHA wa Klabu ya Dodoma Jiji, Mbwana Kibacha ambaye alimsabishia kadi ya njano kipa namba moja wa Simba, Mei 26 kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho wakati ubao ukisoma Simba 3-0 Dodoma Jiji ameweka wazi kuwa kipa huyo alipaniki kwa kuwa alimwambia ukweli kwamba amedanganya jambo lililomfanya atake kugombana naye. 


Katika mchezo huo Manula alionekana akitaka kugombana na nahodha wa Dodoma Jiji ila alitulizwa na wachezaji wa Simba wakiongozwa na beki wa kati Pascal Wawa

 

VIDEO: DODOMA JIJI YABAINISHA KILICHOWAONDOA KOMBE LA SHIRIKISHO VIDEO: DICKOSN AMBUNDO AFUNGUKIA ISHU YA KUJIUNGA NA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply