video

VIDEO: DODOMA JIJI YABAINISHA KILICHOWAONDOA KOMBE LA SHIRIKISHO

admin May 28, 2021 5:47 am


MBWANA Makata, Kocha Mkuu wa Dodoma Jiji amesema kuwa kwa kuwa ni mara yao ya kwanza kuingia hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho wana mengi ya kujifunza na wanastahili pongezi.


 Ameweka wazi kwamba kuondolewa kwao Mei 26 kwa kufungwa mabao 3-0 dhidi ya Simba katika hatua hiyo bado ni kujifunza kwa sababu wametolewa na timu bora.

 

SABABU YA CONTE KUPIGWA CHINI INTER MILAN YATAJWA VIDEO: KUMBE MANULA ALIAMBIWA UKWELI JAMBO LILILOMFANYA ATAKE KUGOMBANA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply