kimataifa

SHERIA YA BAO LA UGENINI LAFUTWA UEFA

admin May 29, 2021 3:47 pm


SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu barani Ulaya, UEFA limefuta sheria ya bao la ugenini, ambayo imetumika kwa miaka 56, Sheria hiyo, imetenguliwa  bodi ya Uefa iliyoketi jana ijumaa Mei 28.

 

Muundo wa  sasa  unatumika  kwenye michuano ya Amerika Kusini,  ambayo hakuna bao la ugenini.

 

Itakumbukwa kocha wa zamani wa Arsenal Arsene Wenger aliwahi kulalamikia hadharani na kuitaka Uefa kuingalia upya sheria hiyo.

 

Msimu wa 2018/19 Manchester City na Ajax Amsterdam walikuwa wahanga wa sheria hii licha ya ushindi waliopata walitolewa nje ya michuano kwa goli la ugenini.

SIMBA YASEPA NA POINTI TATU MAZIMA ZA NAMUNGO, MAJALIWA CHELSEA YASEPA NA UEFA CHAMPIONS LEAGUE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply