video

VIDEO: NAMUNGO: TULIWAPA SIMBA MABAO, TUTARUDI KIMATAIFA

admin May 30, 2021 6:48 am

KIPA namba moja wa Namungo, Nahimana amesema kuwa walishindwa kufuata mbinu ambazo walipewa kipindi cha pili jambo ambalo liliwafanya wapoteze na ubao wa Majaliwa kusoma Namungo 1-3 Simba baada ya dakika 90 kukamilika, Mei 29.


 Kipa huyo ameongeza kwamba mabao ambayo wamefungwa na Simba ni wachezaji wamewapa kwa sababu walifanya makosa kisha wapinzani wao wakawaadhibu. Ameweka wazi kwamba bado timu itapambana kurudi ndani ya nne bora kwa kuwa kuna mechi zipo mkononi ili warusi kimataifa. 

 

MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA MZUNGUKO WA PILI VIDEO: HASSAN DILUNGA AFUNGUKIA JINA LAKE KUKOSEWA TIMU YA TAIFA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply