Home Simba SC VIDEO: OKWI KURUDI SIMBA, GOMES KUAMUA

VIDEO: OKWI KURUDI SIMBA, GOMES KUAMUA


EMANUEL Okwi, mshambuliaji wa zamani wa kikosi cha Simba anatajwa kurejea tena ndani ya kikosi hicho msimu ujao kwa ajili ya kutumikia timu yake ya zamani

 

SOMA NA HII  BAADA YA KUWAONYESHA KAZI AL AHLY JANA...MASHABIKI SIMBA WAMPIGIA MAGOTI KIBU D...