Home Taifa Stars ORODHA YA WACHEZAJI WA KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA, TAIFA STARS

ORODHA YA WACHEZAJI WA KIKOSI CHA TIMU YA TAIFA, TAIFA STARS


KIKOSI cha timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kitakachoingia kambini Juni 5, kujiandaana mchezo wa kirafiki dhidi ya Malawi:-

Aishi Manula wa Simba

Metacha Mnata wa Yanga

Juma Kaseja wa KMC

Shomari Kapombe wa Simba

Israel Mwenda wa KMC

Mohamed Hussein wa Simba

Edward Manyama wa Ruvu Shooting

Erasto Nyoni wa Simba

Bakari Nondo wa Yanga

Kened Juma wa Simba

Dickson Job wa Yanga

Nickson Kibababage wa Youssoufia FC ya Morocco

Simon Msuva wa Waydad AC ya Morrocco

Hassan Dilunga wa Simba

Mzamiru Yassin wa Simba

Fei Toto wa Yanga

Salum Abubakhari wa Azam FC

Braison Nkulula wa Azam FC

Idd Nado wa Azam FC

Mbwana Samatta wa Fenerbahce FC 

John Bocco wa Simba

Abdul Suleiman wa Coastal Union

Ayoub Lyanga wa Azam

Denis Kibu wa Mbeya City

Meschack Abraham wa Gwambina

Novatus Dismas wa Maccabi Tel Aviv

Yusuph Mhilu wa Kagera Sugar


SOMA NA HII  FEISAL SALUM "FEI TOTO"...MECHI NA UGANDA TUTASHINDA