Home Yanga SC VIDEO: MABAO YA YANGA WAKATI IKISHINDA MABAO 2-0 DHIDI YA JKT TANZANIA

VIDEO: MABAO YA YANGA WAKATI IKISHINDA MABAO 2-0 DHIDI YA JKT TANZANIA


HAYA hapa mabao ya Yanga yaliyofungwa na wafungaji Yacouba Songne na Tuisila Kisinda mbele ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma na ubao ulisoma JKT Tanzania 0-2 Yanga.

 

SOMA NA HII  KUHUSU ISHU YA KUTOLEWA KWA MKOPO....KONKONI AIVIMBIA YANGA.....'SIENDI GHANA'.....