Home Simba SC VIDEO: SIMBA YAPANIA KUSHINDA MBELE YA KAIZER CHIEFS, AMA ZETU AMA ZAO

VIDEO: SIMBA YAPANIA KUSHINDA MBELE YA KAIZER CHIEFS, AMA ZETU AMA ZAO


UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa hawahitaji kujitahidi kuelekea kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Kaizer Chiefs, Mei 22 utakaochezwa Uwanja wa Mkapa. 


Simba imeweka wazi kwamba wanaweza kuwafunga mabao matano zaidi kwenye mchezo huo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ili Simba itinge hatua ya robo fainali ni lazima ishinde zaidi ya mabao matano kwa sababu ule mchezo wa kwanza walikubali kichapo cha mabao manne kwa bila. 

 

SOMA NA HII  USAJILI WA HENOCK 'VARANE' WAMFANYA MAGORI AFUNGUKE HAYA...AGUSIA BENCHI LA UFUNDI