Home Yanga SC YANGA WAWASILI DAR WAKITOKEA MTWARA

YANGA WAWASILI DAR WAKITOKEA MTWARA


 KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu,  Nassreddine Nabi kimewasili salama leo Mei 17, Dar kikitokea Mtwara.


Yanga ilikuwa na kazi ya kusaka pointi tatu muhimu mbele ya Namungo FC,  Mei 15 katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa.


Baada ya dakika 90 kukamilika ubao ulisoma Namungo 0-0 Yanga na kuwafanya wagawane pointi mojamoja. 


Leo kimerejea ili kuanza maandalizi ya mchezo wao ujao dhidi ya JKT Tanzania unaotarajiwa kuchezwa Mei 19, Uwanja wa Jamhuri, Dodoma 

SOMA NA HII  ALLY MAYAY ACHAMBUA DABI YA LEO SIMBA vs YANGA....... UNAAMBIWA LEO NI MAPAMBANO SIO MCHEZO