Home video VIDEO: MASAU BWIRWE, TUMEPARURWA SANA,

VIDEO: MASAU BWIRWE, TUMEPARURWA SANA,


MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting amesema kuwa ameumizwa na matokeo ya kufungwa mabao 3-0 dhidi ya Simba na anahitaji muda zaidi ili kuweza kutafakari na kupata majibu kupitia kwenye kamusi ya kiswahili kwa kuwa wameparurwa sana, ameongeza pia ameumizwa na mazingira ya kadi mbili nyekundu ambazo wamezipata.  

 

SOMA NA HII  TAZAMA ALICHOKIFANYA NYONI BAADA YA SIMBA KUFUNGWA NA TP MAZEMBE