video

MGOSI: MSIMU UJAO UTAKUWA NA USHINDANI MKUBWA

admin July 14, 2021 5:47 am

KOCHA Mkuu wa Simba, Queens amesema kuwa wanatambua kwamba msimu ujao utakuwa na ushindani mkubwa tofauti na ilivyokuwa msimu huu ambao timu hiyo imetwaa taji la Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania. Pia mchezaji Oppa Clement amesema kuwa shukrani zao ni kwa mashabiki pamoja na viongozi. 

 

MAKUSU ATAJWA KUINGIA ANGA ZA SIMBA VIDEO: NAMNA SIMBA QUEENS ILIVYOKABIDHIWA UBINGWA WA LIGI YA WANAWAKE

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply