video

VIDEO; OSCAR OSCAR ABAINISHA MALENGO YAKE ATAKAPOWANIA URAIS, AITAJA FIFA

admin June 9, 2021 10:47 am

MCHAMBUZI wa masuala ya michezo Bongo, Oscar Oscar ameweka wazi kwamba ana nia ya kuwania Uraisi wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) na anaamini kwamba anatosha katika eneo hilo huku akiamini kwamba ni ngumu kubadili mpira ikiwa hautakuwa ndani ya maamuzi. Malengo yake ni kuongoza mpira katika hatua ya juu ikiwa ni pamoja na FIFA. 

 

MRWANDA AWAPA TAHADHARI YANGA ISHU YA UBINGWA SELEMAN MATOLA: KAZI BADO INAENDELEA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply