Home news BREAKING; RASMI TANZANIA KUTOA TIMU NNE CAF

BREAKING; RASMI TANZANIA KUTOA TIMU NNE CAF


BREAKING: SASA ni rasmi Tanzania itatoa timu nne kwenye mashindano ya kimataifa yanayoandaliwa na CAF.

Msimu huu ni Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes ilitinga hatua ya robo fainali katika Ligi ya Mabingwa Afrika na Namungo ilikuwa inashiriki Kombe la Shirikisho iliishia hatua ya makundi.

 Taarifa rasmi iliyotolewa na Bodi ya Ligi Tanzania imeeleza namna hii:-


SOMA NA HII  BAADA YA KUONA WATU WANAMNANGA SANA...MATOLA AAMUA LIWALO NA LIWE KUHUSU KOCHA MPYA SIMBA...