Home Yanga SC BREAKING: MWAKALEBELA ASHINDA KESI YAKE TFF

BREAKING: MWAKALEBELA ASHINDA KESI YAKE TFF

 


FREDRIK Mwakalebela,  Makamu Mwenyekiti wa Yanga ameshinda kesi ya maombi ya marejeo mbele ya Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania baada ya kufungiwa kujishughulisha na masuala ya soka kwa miaka mitano. Taarifa iliyotolewa na TFF imeeleza namna hii:-


SOMA NA HII  PAMOJA NA KUFUNGWA AKIWA NA MALI...GAMONDI APIGA MOYO KONDE KWA DIARRA...