Home news BREAKING:KELVIN JOHN ASAINI DILI LA MIAKA MITATU GENK

BREAKING:KELVIN JOHN ASAINI DILI LA MIAKA MITATU GENK


BREAKING: MTANZANIA Kelvin John amesaini dili la kuitumikia Klabu ya KRC Genk ya Ubelgiji.

John ambaye ni mshambuliaji amesaini dili la miaka mitatu baada ya kufikisha umri wa miaka 18 kwa kuwa alikuwa anasubiri kufikisha miaka 18 ili aweze kusaini dili la kuitumikia timu hiyo.

Hivyo atakuwa ndani ya Genk ya Ubelgiji ambayo alicheza pia Mtanzania Mbwana Samatta moaja 2024.

SOMA NA HII  BAADA YA KUKIWASHA MAPINDUZI CUP....BEKI MGANDA YANGA AGOMA KUSEPA BONGO...