Mapumziko, Uwanja wa Majimaji
Simba 0-0 Azam FC
Zinaongezwa dk 2
Dk 44 Bocco anaotea
Dk 41 Luis anapiga kona kwa Simba inaokolewa na Lyanga
Dk 39 Kigonya anapeleka mashambulizi kwa Manula
Dk 30 Azam FC wanapata kona ya kwanza
Dk 23 Kigonya anapeleka mashambulizi Simba
Dk ya 17 Lwanga anaonyeshwa kadi ya njano
Dk ya 16 Lwanga anafanya jaribio linakwenda nje ya 18
Dk ya 14 Daniel Amoah anaonyeshwa kadi ya njano baada ya kuonekana akimchezea faulo kiungo wa Simba Luis
Dakika ya 13 Kapombe anamchezea faulo winga Nado
Dakika ya 9 Chama anapiga kona ya kwanza kwa Simba inaokolewa na Kigonya
Dakika ya 9 Chama anapiga kona ya kwanza kwa Simba inaokolewa na Kigonya
Dakika ya 6 Agrey Morris anapiga faulo ya kwanza kwa Azam FC inakwenda nje ya lango
Dakika ya 5 Chirwa anachezewa faulo na beki wa Simba, Pascal Wawa
Dakika ya 4, Mzamiru Yassin anafanya jaribio la kwanza kwa pasi ya John Bocco linakwenda nje ya 18
Prince Dube wa Azam FC amekosekana kwenye mchezo wa leo huku kwa Simba, Chris Mugalu akikosekana pia kutokana na kusumbuliwa na majeruhi.
Dakika 2 Tshablala anapeleka mashambulizi Azam FC
Dakika ya 1 Chama anapiga faulo ya kwanza kwa Simba inaokolewa na ukuta wa Azam FC
Uwanja wa Majimaji, Songea
Nusu fainali, Shirikisho
Simba 0-0 Azam FC
Seleman Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa anatambua mchezo wa leo dhidi ya Azam FC wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho utakuwa mgumu ila watapambana kupata matokeo chanya ili kutinga hatua ya nusu fainali.
Vivier Bahati, Kocha Msaidizi wa Azam FC amesema kuwa wanawaheshimu wapinzani wao ila wapo tayari kupata matokeo.
Ikumbukwe kwamba mshindi wa mchezo wa leo Uwanja wa Majimaji atakutana na Yanga kwenye mchezo wa fainali.