Home video VIDEO: MASHABIKI WAMFUATA DUBE SONGEA, ZOEZI LA PICHA LIKAFUATA

VIDEO: MASHABIKI WAMFUATA DUBE SONGEA, ZOEZI LA PICHA LIKAFUATA

PRINCE Dube leo Juni 26 alikuwa Uwanja wa Majimaji, Songea akishuhudia mchezo wa nusu fainali uliowakutanisha Azam FC dhidi ya Simba na kushuhudia timu yake ikipoteza kwa kufungwa bao 1-0. Akiwa jukwaani mashabiki walimfuata na kuanza kupiga naye picha za ukumbusho kinara huyo wa mabao ndani ya ligi kwa Azam FC akiwa na mabao 14. 

 

SOMA NA HII  VIDEO:ISHU YA MAYELE,FISTON NA DJUMA YA ITC, MCHEZO UPO NAMNA HII