Home news KARIA APITISHWA NA KUWA MGOMBEA PEKEE WA URAIS TFF

KARIA APITISHWA NA KUWA MGOMBEA PEKEE WA URAIS TFF


MGOMBEA wa nafasi ya Urais katika Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) Wallace Karia amepenya kwenye mchujo wa awali na kumfanya awe mgombea pekee wa Urais wa TFF.


Hii ni baada ya Hawa Mniga pamoja na Evance Mgeusa kikosa vigezo vinavyokidhi kwenda hatua inayofuata baada ya mchujo uliofanywa na Kamati ya Uchaguzi ya TFF.

Kwa maana hiyo Wallace Karia anasubiri kwenda kuthibitishwa na Mkutano mkuu na si kumpigia Kura.


Kwa mujibu wa Benjamin Kalume Makamu Mwenyekiti kamati ya Uchaguzi TFF.
SOMA NA HII  BAADA YA KUANZA MAKEKE YAKE...MORRISON AONGEZEWA 'SINDANO' YANGA....NABI AMPA UANGALIZI MAALUMU...