Home Taifa Stars MECHI YA KIRAFIKI: TANZANIA 0-0 MALAWI

MECHI YA KIRAFIKI: TANZANIA 0-0 MALAWI



Dakika ya 49 Manula anaokoa shuti la Banda
Lyanga Ayoub anaingia, Mzamiru Yassin akichukua nafasi ya Mudhathir
Kipindi cha pili
Mapumziko 

Zimeongezwa dakika 2

Dakika ya 45 Bocco anafanya jaribio linaokolewa 


Dakika ya 44 Mhilu anapeleka mashambulizi ndani ya Malawi
Dakika ya 27 Mhango anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 24  Nyoni anapeleka mashambulizi Malawi
Dakika ya 22 Peter Banda anafanya jaribio linakwenda nje ya lango 
Dakika ya 20 Fei Toto anapokwa mpira 
Dakika ya 18 Manula anaanzisha mashambulizi 

Dakika ya 17 Malawi wanapata kona inapigwa na Banda
Uwanja wa Mkapa

Dakika ya 13 Fei Toto anajaza majalo eneo la Malawi
Dakika ya 10 Malawi wanapeleka mashambulizi 
Dakika ya 2 Bocco anafanya jaribio linakwenda nje ya lango 

Mchezo wa kirafiki ulio katika kalenda ya Fifa


Tanzania 0-0 Malawi


Dakika ya 15


SOMA NA HII  KISA SARE NA ALGERIA JUZI......TAIFA STARS YAPAAA FIFA...