Home Simba SC MO AONGOZA KIKAO CHA MIPANGO YA MAENDELEO SIMBA, BARBRA NDANI

MO AONGOZA KIKAO CHA MIPANGO YA MAENDELEO SIMBA, BARBRA NDANI


 BODI ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba leo Juni 16 imefanya kikao ili kujadili mambo mbalimbali ambayo yanaihusu klabu.

Miongoni mwa mambo ambayo wameyajadili ni pamoja na mipango ya maendeleo.

Taarifa rasmi iliyotolewa kupitia ukurasa rasmi wa Istagram wa Simba umeeleeza kuwa Kikao hicho kimeongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Mohammed Dewji, ‘Mo’.


Miongoni ambao walihudhuria kikao hicho ni pamoja na mtendaji mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez.

SOMA NA HII  KUHUSU UKAME WA MAGOLI KWA KIBU....UKWELI UNAOPASWA KUJUA HUU HAPA....