Home video VIDEO: ALIYEMTUNGUA SHIKALO MABAO MAWILI AMETIMIZA AHADI ALIYOMPA MAMA

VIDEO: ALIYEMTUNGUA SHIKALO MABAO MAWILI AMETIMIZA AHADI ALIYOMPA MAMA

NYOTA wa Mwadui FC, Aniceth Revocatus ambaye alimtungua mabao mawili kipa wa Yanga, Faroukh Shikalo amesema kuwa alimuahidi mama siku moja atafunga mbele ya timu kubwa jambo ambalo jana Juni 20 lilitimia licha ya kushindwa kuibuka na ushindi kwenye mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa.

 

SOMA NA HII  AMRI KIEMBA ATOA SOMO KWA WACHEZAJI