Home video VIDEO: ISHU YA MANYAMA KUSAINI SIMBA RUVU SHOOTING YABAINISHA UKWELI

VIDEO: ISHU YA MANYAMA KUSAINI SIMBA RUVU SHOOTING YABAINISHA UKWELI

OFISA Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa suala la mchezaji wao Edward Manyama kudaiwa kuwa amesaini ndani ya Klabu ya Simba miaka miwili hizo ni tetesi kwa kuwa mchezaji huyo bado ni mali yao na hajasaini popote.

 

SOMA NA HII  WAZIR JUNIOR:NITAENDELEA KUPAMBANA, HATUKUTARAJIA MATOKEO