Home video VIDEO: KIBU DENNIS NYOTA STARS ANAYETAJWA KUIBUKIA YANGA AFUNGUKA

VIDEO: KIBU DENNIS NYOTA STARS ANAYETAJWA KUIBUKIA YANGA AFUNGUKA

NYOTA wa timu ya taifa ya Tanzania, Kibu Dennis amesema kuwa anafurahi kuweza kupata nafasi katika kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ambapo alitoa pasi moja na kusababisha faulo wakati Stars ikishinda mabao 2-0 dhidi ya Malawi pia ameomba sapoti kutoka kwa mashabiki. Kuhusu suala lake la kutakiwa Yanga amesema’ no comment’

 

SOMA NA HII  VIDEO: WAWA, CHIKWENDE HATMA YAO MIKONONI MWA GOMES, OLOMIDE KUTUMBUIZA WIKI YA MWANANCHI