Home Ligi Kuu MTIBWA SUGAR YAGOMEA KUSHUKA DARAJA

MTIBWA SUGAR YAGOMEA KUSHUKA DARAJA


 NYOTA wa kikosi cha Mtibwa Sugar, Jaffary Kibaya amesema kuwa watapambana kwenye mechi zao zote zilizobaki ili kupata matokeo chanya.

Kwa sasa Mtibwa Sugar imekuwa kwenye mwendo wa kusuasua kutokana na kushindwa kupata matokeo mazuri katika mechi zao za ligi.

Kwenye msimamo wa ligi ipo nafasi ya 16 ikiwa imecheza jumla ya mechi 27 imekusanya jumla ya pointi 28 ipo kwenye mstari wa kushuka daraja.

Nyota huyo amesema:”Tunajua kwamba tupo kwenye mwendo mbaya ila tutapambana ili kupata matokeo kwenye mechi zetu ambazo zimebaki ili tusishuke daraja.

“Ushindani ni mkubwa nasi pia tunapambana ili kufanya vizuri, mashabiki watupe sapoti,” .

SOMA NA HII  MWADUI FC SASA KUSHIRIKI LIGI DARAJA LA KWANZA MSIMU UJAO