Home video VIDEO: WAFAHAMU WAPINZANI WA YANGA KIMATAIFA

VIDEO: WAFAHAMU WAPINZANI WA YANGA KIMATAIFA

KLABU ya Yanga imepangiwa timu ya Rivers United kutoka Nigeria katika mchezo wa awali hatua ya kwanza ya mtoano kwa ajili ya kufuzu hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika.


Yanga ikifuzu itashiriki hatua ya pili ambapo ikifuzu itatinga hatua ya makundi Afrika. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: CHAMA APEWA RAMBIRAMBI NA MASHABIKI