Home video VIDEO: MLEZI WA JONAS MKUDE AFUNGUKIA JUU YA SAKATA LA NYOTA HUYO

VIDEO: MLEZI WA JONAS MKUDE AFUNGUKIA JUU YA SAKATA LA NYOTA HUYO

MLEZI wa nyota wa Simba, Jonas Mkude ambaye amesimamishwa kwa muda na kamati ya nidhamu amesema kuwa nyota huyo amepita kwenye mikono yake na alikuwa ni mtu ambaye hana tatizo naye kuhusu suala la utovu wa nidhamu jambo ambalo linamfanya azidi kujiuliza nini tatizo ambalo linamsumbua Mkude.

 

SOMA NA HII  VIDEO: YANGA KUMSAJILI KIUNGO KUTOKA ZAMALEK