Home video VIDEO: MPANGO WA MABADILIKO YANGA SASA KUENDELEA KWA WAZABUNI

VIDEO: MPANGO WA MABADILIKO YANGA SASA KUENDELEA KWA WAZABUNI

INJINIA Hersi afunguka mchakato wa mabadiliko ambao jana Juni 27 Wanachama wa Yanga walipitisha kwa asilimia 100 huku akiweka wazi kuwa kazi ni kubwa ikiwa ni pamoja na kuwatafuta wazabuni. 

 

SOMA NA HII  MAMA MANJI WA YANGA ABAINISHA SABABU ZA UZI WA TIMU HIYO KUUZIKA