Home video VIDEO: OSCAR OSCAR AREJESHA FOMU, ATAJA CHANGAMOTO AMBAYO ALIYOKUTANA NAYO

VIDEO: OSCAR OSCAR AREJESHA FOMU, ATAJA CHANGAMOTO AMBAYO ALIYOKUTANA NAYO

OSCAR Oscar ambaye ni mchambuzi wa masuala ya michezo Bongo pia akiwa ni mtangazaji wa E FM amesema kuwa anaamini kwamba ametimiza matakwa ya kanuni za fomu ya uchaguzi ambayo amewania ikiwa ni pamoja na elimu aliyonayo.


 Pia ameweka wazi kwamba shukrani kubwa kwa Waandishi wa Habari ambao walikuwa naye bega kwa bega katika kutoa taarifa. Ameongeza pia amekutana na changamoto kubwa ya kupata endosment (wadhamini) ambayo ilikuwa ni tatizo kubwa kwake na hakupata endosment hata moja. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: MZEE WA UTOPOLO ASEMA NAMBA YA HAJI MANARA HAIPATIKANI