Home video VIDEO: MZEE WA UTOPOLO ASEMA NAMBA YA HAJI MANARA HAIPATIKANI

VIDEO: MZEE WA UTOPOLO ASEMA NAMBA YA HAJI MANARA HAIPATIKANI


MZEE wa utopolo shabiki wa Yanga ameweka wazi kwamba namba ambayo ameweka Haji Manara, Ofisa Habari wa Simba haipatikani kila anapopiga haipatikani, ameweka wazi kwamba yeye anaongea ukweli muda wote. Kwa wale ambao wanasema kwamba wana Yanga huwa anawaambia kwamba Yanga ni ya Wananchi. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: ISHU YA MANYAMA KUSAINI SIMBA RUVU SHOOTING YABAINISHA UKWELI