Home video NYOTA WA BIASHARA UNITED WAFUNGUKA BAADA YA KUGAWANA POINTI MOJAMOJA NA SIMBA

NYOTA WA BIASHARA UNITED WAFUNGUKA BAADA YA KUGAWANA POINTI MOJAMOJA NA SIMBA

NAHODHA wa Biashara United, Abdulmajid Mangalo amesema kuwa walikuwa na mchezo mgumu katika kazi yao ya kusaka ushindi mbele ya Simba kwenye mchezo uliochezwa Uwanja Karume ,Mara ambapo ulikamilika kwa timu hizo kutofungana na kugawana pointi mojamoja. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: TAZAMA NAMNA AZAM FC WALIVYOWAPIGIA MAKOFI MABINGWA SIMBA