Home video VIDEO: PART 2: MWAKALEBELA AIANGUKIA TFF, AKUBALI MATOKEO

VIDEO: PART 2: MWAKALEBELA AIANGUKIA TFF, AKUBALI MATOKEO

SEHEMU ya pili ya mahojiano ya Fredrick Mwakalebela ambaye ni Makamu Mwenyekii wa Yanga kwa sasa amefungiwa kwa muda wa miaka mitano na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kutokana na makosa ambayo waliyaeleza kuwa ni pamoja na kutoa shutuma kwa waendeshaji wa mpira, pamoja na ishu ya mkataba wa kiungo wa Simba, Bernard Morrison, Mwakalebela amesema kuwa alikosea anaomba msamaha

 

SOMA NA HII  VIDEO:ALICHOKIFANYA HAJI MANARA BAADA YA YANGA KUPOTEZA MBELE YA WANAIJERIA