Home video VIDEO: YANGA HAKUNA MAKANDOMAKANDO, SIMBA WAJE MUDA ULIOPANGWA

VIDEO: YANGA HAKUNA MAKANDOMAKANDO, SIMBA WAJE MUDA ULIOPANGWA

OFISA Uhamasishaji wa Klabu ya Yanga, Antonio Nugaz amesema kuwa hata akiondoka leo ndani ya Yanga anaamini kwamba atakuwa ameacha alama hasa kwa hatua ambayo wamefikia kwenye mabadiliko ambayo hayana makandomakando kwa kuwa awali alipoanza kazi wengi walikuwa wakimbeza namna anavyozungumza kuhusu uwepo wa mabadiliko.


 Pia ameweka wazi kuelekea mchezo wao wa watani wa jadi, Simba Julai 3 ambao ni wa ligi pamoja na ule wa fainali ya Kombe la Shirikisho wanapaswa wafike kwa muda ule uliopangwa. 

 

SOMA NA HII  NYOTA WA SIMBA WAKIMBIZWA HOSPITALI,MAPYA YAIBUKA KESI YA BM CAS