Home video VIDEO: YANGA NA SIMBA WOTE MOROCCO, WATUMIA GARI MOJA

VIDEO: YANGA NA SIMBA WOTE MOROCCO, WATUMIA GARI MOJA

TIMU mbili kutoka Tanzania, Simba na Yanga zimeweka kambi nchini Morocco kwa ajili ya maandalizi ya msimu mpya wa 2021/22. Wakati wa kwenda mazoezini timu zote zimeonekana zikitumia gari lenye muonekano mmoja sawa na rangi nchini Morocco.

 

SOMA NA HII  VIDEO: NAMNA SIMBA QUEENS ILIVYOKABIDHIWA UBINGWA WA LIGI YA WANAWAKE