Home video VIDEO: NAMNA SIMBA QUEENS ILIVYOKABIDHIWA UBINGWA WA LIGI YA WANAWAKE

VIDEO: NAMNA SIMBA QUEENS ILIVYOKABIDHIWA UBINGWA WA LIGI YA WANAWAKE

JULAI 14 mabingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania, Simba Queens wanaonolewa na Kocha Mkuu, Mussa Mgosi, walikadhiwa rasmi ubingwa wao Uwanja wa Uhuru baada ya kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya taifa ya Twiga Stars ambapo ubao ulisoma Simba Queens 1-2 Twiga Stars. Namna walivyokabidhwiwa ubingwa wao mambo yalikuwa namna hii:- 

 

SOMA NA HII  VIDEO: MWAKATALIMO ATUMA SALAMU KWA AZAM FC, AWASHAURI MBEYA CITY