Home video VIDEO:BATTEL YA TADDEO LWANGA V KHALID AUCHO NI NOMA

VIDEO:BATTEL YA TADDEO LWANGA V KHALID AUCHO NI NOMA

BAADA ya Simba kukamilisha usajili wa Taddeo Lwanga kwa upande wa kiungo mkabaji kuna ingizo jipya ndani ya Yanga ambaye naye ni kiungo Khalid Aucho wote hawa ni viungo kutoka nchini Uganda na kwa sasa wapo na timu zao kambini nchini Morocco.


 Hizi hapa rekodi za nyota hao ambao wanachambuliwa kwa takwimu.

 

SOMA NA HII  VIDEO: TAZAMA NAMNA WACHEZAJI YANGA WALIVYOPOKELEWA