Home video VIDEO: YANGA HAKIELEWEKI MPAKA MAKUNDI, WAANZA KUWAFUATILIA WAPINZANI WAO

VIDEO: YANGA HAKIELEWEKI MPAKA MAKUNDI, WAANZA KUWAFUATILIA WAPINZANI WAO


BAADA ya kikosi cha Yanga kupangwa na timu kutoka Nigeria, Rivers, uongozi wa Yanga umeweka wazi kwamba hesabu kubwa ni kuona kwamba wanaweza kutinga hatua ya robo fainali. 


Kuhusu timu ambayo wamepangwa nayo Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa wanatarajia kufanya vizuri na wataanza kuifuatilia kwa kuwa awali walikuwa hawaijui. Timu inatarajiwa kurejea nchini Agosti 27 kwa ajili ya maandalizi ya wiki ya Mwananchi ikitokea nchini Morocco ambapo imeweka kambi.

 

SOMA NA HII  MASAU BWIRE:SIO SIMBA TU,KILA TIMU HATA YANGA, AZAM FC