Home video VIDEO: KIKWETE AWAPA USHAURI YANGA, JAMBO ZURI LAZIMA LIELEZWE VIZURI

VIDEO: KIKWETE AWAPA USHAURI YANGA, JAMBO ZURI LAZIMA LIELEZWE VIZURI

JAKAYA Kikwete rais mstaafu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya nne amesema kuwa jambo zuri ili liweze kueleweka ni lazima lielezwe vizuri. Kwa sasa Yanga ipo kwenye mchakato wa mabadiliko na Jana Juni 27 Wanachama walipitisha kwa pamoja makubaliano ya mabadiliko ya Yanga kwa asilimia 100. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: NYOTA MPYA WA YANGA ATINGA UWANJA WA MKAPA