Home video VIDEO: NYOTA MPYA WA YANGA ATINGA UWANJA WA MKAPA

VIDEO: NYOTA MPYA WA YANGA ATINGA UWANJA WA MKAPA

FISTON Mayele leo Agosti Mosi baada ya kutambulishwa ameshuhudia mchezo wa ufunguzi kati ya Yanga ambayo ni timu yake mpya dhidi ya Big Bullets na dk 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Yanga 1-1 Big Bullets. 

 

SOMA NA HII  VIDEO: TIBOROHA AFUNGUKIA JUU YA UCHAGUZI TFF, METACHA AWEKWE CHINI