Home video VIDEO: TIBOROHA AFUNGUKIA JUU YA UCHAGUZI TFF, METACHA AWEKWE CHINI

VIDEO: TIBOROHA AFUNGUKIA JUU YA UCHAGUZI TFF, METACHA AWEKWE CHINI

DK Tiboroha amesema kuwa kwa watu ambao waliiona katiba ya TFF walitambua kwamba inahitaji maandalizi makubwa kwa ajili ya kuweza kugombea pamoja na uzoefu wa muda mrefu.


 Ameweka wazi kwamba tatizo ambalo limekuwa wimbo mkubwa ni lile la endorsement ambalo linaweza kutoa picha kamili ya mshindi. Kuelekea kwenye uchaguzi mkuu amemtaja mgombea Wallace Karia kwamba amepata endorsement nyingi jambo linalomaanisha kwamba anakubalika. 

 

SOMA NA HII  VIDEO:MBIVU NA MBICHI KUSEPA KWA MUKOKO NA MBADALA WAKE